Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ziiki wawakutanisha Rayvanny na Nandy studio

Ziiki Wawakutanisha Rayvanny Na Nandy Studio Ziiki wawakutanisha Rayvanny na Nandy studio

Fri, 13 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya kusambaza muziki Ziiki imewakutanisha studio wanamuziki kutoka Tanzania #Rayvanny na #Nandy wakiwa nchini Afrika Kusini.

Kampuni ya kusambaza muziki Ziiki imewakutanisha studio wanamuziki kutoka Tanzania #Rayvanny na #Nandy wakiwa nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa picha mbalimbali Rayvanny na Nandy wameingia studio na mtayarishaji wa muziki kutoka Nigeria #BlaiseBeat ambaye ni moja ya watayarishaji wakubwa wa muziki Afrika aliyehusika kuandaa Album ya #ChrisBrown "Breezy" na "Timeless" ya Davido.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live