Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ziara ya Kendrick Lamar yaongoza kwa kuingiza mkwanja mrefu

Kendrick Lamar Ziara Rapa Kendrick Lamar

Thu, 27 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ziara ya Kendrick Lamar “The Big Steppers Tour” imekuwa ziara iliyoingiza mkwanja mrefu zaidi kwa msanii wa Hip Hop kwa muda wote. Ziara hiyo imeingiza kiasi cha ($110.9 million) sawa na zaidi ya TSh. Bilioni 260 kwenye jumla ya Tiketi 929,000 katika maonesho 73 tofauti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live