Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaylissa hataki kuolewa uke wenza

Manara Na Zayllisa Zaylissa hataki kuolewa uke wenza

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zaylissa ambaye ni mchumba wa Haji Manara, amesema hataki ukewenza, hivyo atajitahidi jambo hilo lisitokee katika ndoa yao.

Zaylissa ambaye ni mchumba wa Haji Manara, amesema hataki ukewenza, hivyo atajitahidi jambo hilo lisitokee katika ndoa yao. Pia amesema kuanzia leo Januari 22, 2024, Manara ambaye ni mume wake mtarajiwa ndiye atakuwa meneja wake na atasimamia kazi zake na mikataba yyote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live