Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zawadi ya Hasheem Thabeet kwenye birthday ya Jokate ilikuwa moto, ndio mume mtarajiwa?

5221 28152302 542996436069049 331276428177833984 N TZW

Sat, 24 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Licha ya Jokate Mwegelo aka Kidoti kuachana na Hasheem Thabeet kwenye mahusiano yao ambayo yalidumu kwa takribani miaka mitatu, bado wawili hao wameonyesha kutokuwa maadui na wameendelea kuwa watu wa karibu.



Jokate ameonyesha kupokea zawadi ya maua kutoka kwa mchezaji huyo wa kikapu kwa ajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ilikuwa Jumanne ya March 20 ya mwaka huu.



Kidoti ameweka picha ya zawadi hiyo ya maua kwenye mtandao wa Instagram na kuandika ujumbe ambao unasomeka, “Still receiving birthday roses

Chanzo: bongo5.com