Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Zawadi bado bado sijapewa, Wengine wananifata Chemba, GARI JE?’ Shilole

2554 Screen Shot 2018 02 03 At 3.53.29 PM 660x400.png

Sat, 3 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

January 14, 2018 ilikuwa ni sherehe ya harusi ya msanii Shilole na mumewe Uchebe ambapo kwenye sherehe hiyo Shilole aliahidiwa zawadi nyingi ikiwemo Harmonize alimuahidi gari aina ya Noah.

Vipi kuhusu zawadi hizo amezipata? Bonyeza PLAY kuipata story kamili



‘Bongo movie ni wachache sana, Wasanii wadogo wananisapoti sana’- Wastara



 

Chanzo: millardayo.com