Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zari na Diamond mpaka jua lizame

Zari Diamonmd Zari na Diamond

Sun, 14 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zari The Boss Lady; ni yule mwanamama mwenye pesa zake ambaye amezaa watoto wawili na supastaa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye anasema yeye na jamaa hiyo mpaka jua lizame.

Kwa mara nyingine Zari ameeleza uhusiano wake na Diamond au Mondi kuwa kwa sasa ni marafiki wakubwa na siyo wapenzi tena na watabaki kuwa hivyo. “Kwa sasa mimi na Diamond tunaelewana sana, kila mmoja anamuelewa mwenzake, siyo kama wapenzi, kama wazazi na marafiki.

“Unajua mimi na Diamond sasa hivi tumekuwa marafiki zaidi kuliko wapenzi tutakuwa hivyo hadi mwisho wetu, jambo ambalo kusema kweli limetufanya mambo yawe rahisi kwetu,” anasema Zari au Mama Tee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live