Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zari ametumia zaidi ya Tsh Milioni 6 kwaajili ya viatu vya watoto

2879 Screen Shot 2018 02 08 At 8.24.49 PM.png

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Zari the boss lady siku kadhaa zilizopita alikuwa Dubai kwaajili ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya rafiki yake  Zowda Mkandila na lakini akiwa katika matembezi Dubai, Zari aliamua kutumia zaidi ya Milioni 6 kwa ajili ya kuwanunulia watoto wake viatu aina ya Balenciaga.



Kiatu aina ya Balenciaga alichonunua Zari kwaajili ya watoto wake kinauzwa Dola 692 za Kimarekani ambapo ni zaidi ya shilingi Milioni  1.5 za Kitanzania kwa pair moja ya kiatu.



Kupitia snapchat account ya Zari aliandika “Ni kwa ajili yangu na watoto wangu tutavivaa wote vikiwa vyeusi” hiyo ni baada ya Zari kununua viatu hivyo ndio akaamua kuvipost snapchat.

Meneja wa Diamond kauliza “Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?



 

 

Chanzo: millardayo.com