Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zari amchamba Mange Kimambi

Zari Amchamba Mange Kimambi Zari amchamba Mange Kimambi

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Mange Kimambi kumlipa Mume wa Zari, Shakib Tsh.Milioni 2.5 kufanya naye mahojiano ili kumwambia Siri za ndani za Zari na mahusiano yao.

Baada ya Mange Kimambi kumlipa Mume wa Zari, Shakib Tsh.Milioni 2.5 kufanya naye mahojiano ili kumwambia Siri za ndani za Zari na mahusiano yao. Zari ame-share Ujumbe kwenye Instastory yake akidai kuwa Mange ni moja ya mashabiki zake ndio maana analipia ili apate Story zake huku akidai kuwa hakupewa story za ndani kama alivyotarajia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live