Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zari aikumbuka jamii

Zari Hassan Amzomea Vikali Shabiki Aliyetapeliwa Na Mtu Aliyejifanya Yeye Zari aikumbuka jamii

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfanyabiashara Zari Hassan kesho anatarajia kwenda kuwatembelea wazazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kugawa nepi za watoto ikiwa ni sehemu ya kurudisha kwa jamii.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam alipokuwa akiongeza mkataba na kampuni ya Softcare ili kuendelea kuzitangaza bidhaa za kampuni hiyo amesema

“Kwa kuanza katika majukumu yangu kesho nitatembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili ili nikawape zawadi wazazi na watoto kama sehemu ya kurudisha kwa jamii.” Amesema Zari

Chanzo: www.tanzaniaweb.live