Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zari: Nikionekana na Mama Dangote mnafaidika nini?

Zair Mama Dangote Zari na familia ya Mondi

Thu, 19 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanadada mweye ushawishi katika mitandao mbalimbali ya kijamii Zari The Boss Lady ameibuka na kuwajia juu wanaosema hajaenda kuonana na familia ya mwanamuziki Diamond Platnumz alivyotua Tanzania wiko iliyopita.

Kupitia snapchat story yake, Zari amewasihi watu kufanya mambo yao na kuacha kufatilia yasiyowahusu.

“Zari ajaonana na Mama Dangote kwanini!?,Zari ajaonana na ile familia kwanini!?, Wewe unafaidika nini mimi nikipiga picha na Mama Dangote!?”Na ningeonana nao mgesema Zari Anajipendekeza Kwa Diamond," amesema Zari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live