Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zari Akana Madai ya Diamond Kununua Vitu vya Ndani Sauzi

Diamond Tiffah Zari Akana Madai ya Diamond Kununua Vitu vya Ndani Sauzi

Tue, 18 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanasosholaiti na mfanyabiashara mashuhuri kutoka Uganda Zari Hassan na ambaye anaishi Afrika Kusini amechapisha video inayoonyesha akishiriki mazungumzo na mtoto wake wa kike Tiffah Princess.

Katika video ambayo Zari alichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram , Tiffah anasikika akidai kuwa baba yake Diamond ndiye alinunua kila kitu kilicho kwenye nyumba yao.

Mtoto huyo wa miaka sita alidai kwamba Babake ni tajiri sana huku akieleza kwamba ata kitanda alichokilalia kilinunuliwa na Diamond.

Tiffah pia amasema anamini wazazi wake, Zari na Diamond wanapendana kwa sababu hutembeleana. Tiffah ambaye alifuzu kuingia darasa lingine siku chache zilizopita alisherehekewa sana na wazazi wake kufuatia hatua hiyo.

????“Niombee kisha unipe nafasi, fumba macho ulale, naenda kuoga,” Zari alimwambia Bintiye Tiffah. Mazungumzo yalianza baina ya Zari na Tiffah ambapo Tiffah alimjibu mamake kwa kusema.

????“hii ni nafasi yangu yote. hiki ndicho kitanda changu. Unakumbuka baba alikinunua?" alisema Tiffah Kufuatia kauli hiyo, Zari alijibu kwa kusema.

????“Baba yako hakuwahi kununua kitanda hiki” Zari alimwambia Tiffah.

Tiffah aliongeza kwamba chochote kiko kwa chumba chao babake ndiye amenunua na akuonyesha kubadilisha mawazo yake.

????“Baba yangu ana pesa nyingi sana.. hapana yeye ndiye alimenunua kila kitu nyumbani...”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live