Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zampino: Familia ya Will Smith inaendelea vizuri

Sheree Zampino Kl Zampino: Familia ya Will Smith inaendelea vizuri

Thu, 15 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ex wa Will Smith, Sheree Zampino (54) amesema Will Smith na familia yake wanaendelea vizuri na wako salama ikiwa ni miezi mitano imepita toka tukio la Will kumpiga kofi mchekeshaji Chris Rock (57) kwenye tuzo za Oscar.

Tambua baada ya tukio lile Will Smith amezidi kuwa msiri zaidi kuhusu maisha yake zaidi ya alivyokuwa akifanya zamani, ratiba zake, kazi zake mpya na hata watu anaofanya nao kazi vimekuwa ni siri kubwa.

Sheree Zampino ni Ex wa Will Smith, waliachana 1995 baada ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka mitatu, wana mtoto mmoja Trey Smith (29) na ni marafiki toka wameachana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live