Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zamaradi afurahishwa na mashabiki wa Nigeria

Zamaradimketema 1707480064510.jpeg Zamaradi afurahishwa na mashabiki wa Nigeria

Fri, 9 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji Zamaradi Mketema amefurahishwa na umoja wa mashabiki wa Nigeria pale wanapoona wasanii wao wamepoteza Tuzo tofauti na mashabiki wa Bongo pale wanapoona wasanii wao wamepoteza ushindi kwenye Tuzo huwa nawacheka na kuwabeza.

Mtangazaji Zamaradi Mketema amefurahishwa na umoja wa mashabiki wa Nigeria pale wanapoona wasanii wao wamepoteza Tuzo tofauti na mashabiki wa Bongo pale wanapoona wasanii wao wamepoteza ushindi kwenye Tuzo huwa nawacheka na kuwabeza. Zamaradi amewataka mashabiki wa Bongo pia kujifunza uzalendo na kuwa pamoja na wasanii wao pale wanapopoteza ushindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live