Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaiylissah: Nimeanza mahusiano na Manara baada ya kuachana na Dulla

Zaiylissah: Nimeanza Mahusiano Na Haji Baada Ya Kuachana Na Dulla Zaiylissah: Nimeanza mahusiano na Haji baada ya kuachana na Dulla

Wed, 13 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa Filamu ZaiyLissah ambae yupo kwenye mahusiano na Haji Manara amefunguka kuhusu mahusiano yake na Haji Manara huku akisisitiza kuwa walikutana na kuanzisha mahusiano baada ya Ndoa yake na Msanii wa Muziki wa Singeli Dulla Makabila kuvunjika.

Akiwa kwenye kipindi cha LeoTena cha Clouds FM, ZaiyLissa Amesema...

"Mimi na Haji hatukuwahi kuwasiliana kipindi nipo kwenye Ndoa #hajismanara mara ya kwanza kukutana ni mwezi uliyopita na ni baada ya miezi mitano kupita toka nitoke kwenye ndoa yangu iliyopita".

Mbali na hivyo ZaiyLissa ameweka wazi kuwa aliekuwa Mume wake ambae ni Dulla Makabila alimpa talaka zote tatu kwa pamoja huku akisema kuwa anaamini Ndoa ni Bahati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live