Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaiylissa mjamzito? Manara afunguka ukweli

Zaiylissa Mjamzito Zaiylissa mjamzito? Manara afunguka ukweli

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haji Manara amefunguka kuhusu video iliyotrend kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mke wake Zaiylissa akishika tumbo na wengi kuhisi kuwa tayari ana ujauzito.

Akiwa kwenye kipindi cha #Sentro cha #CloudsTv amefunguka kuwa Mke wake hana ujauzito na ni ya zamani.

"Wakati mwingine unatingisha kidogo unawapasha walimwengu ile ni picha ya zamani. Nilimwambia akatingishe kidogo ulimwengu. Hana ujauzito"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live