Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaiylissa hajawahi kuniomba hela - Manara

Haji Manara Na Mkewe Zaiylissa hajawahi kuniomba hela - Manara

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haji Manara amesimulia kuwa, mke wake Zaiylissa hajawahi kumuomba fedha kama ambavyo wengine hufanya kwa wanaume.

Haji ametoa kauli hiyo alipokuwa anafanya mahojiano na Clouds FM.

"Zay kwa mara ya kwanza niliona picha yake ilitumwa kwenye magroup ya Yanga alikuwa amevaa jezi ya Yanga. Niliuliza huyu ni nani? Utani ulikuwa mwingi nikaomba connection ili nimpe kazi ya matangazo.

"Dakika mbili tu ilitumwa page yake. Nilimwangalia nikaona ni mwanamke mrembo. Nika m-DM. Baada ya Dakika Tano alinijibu. Nikamwambia nahitaji kukutana naye. Alinitumia namba. Tulikuwa tunawasiliana. Hajawahi kuniomba hela hata simu moja," alisema Manara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live