Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zaidi ya watu 5000 kushuhudia uzinduzi wa "Utopia" Misri

Travis Scott Alb Travis Scott

Sat, 15 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Onesho la uzinduzi wa Album ya Travis Scott “UTOPIA” nchini Misri litafanyika Julai 28 kwenye Piramidi za Giza, tayari tiketi zote VIP ziliisha ndani ya dakika 15 tu baada ya bei kutajwa.

Bei ya tiketi hizo ilikuwa ni (USD 129) zaidi ya TSh. 315,000 kwa Premium Tiketi, VIP iliuzwa kwa (USD 210) zaidi ya TSh. 513,000.

Inaarifiwa kuwa, takribani watu 5000-6000 watahudhuria onesho hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live