Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Young Thug wetu wa Biongo ni nani?

Mashairi Ya Young Thug Kutumika Kama Ushahidi Young Thug.

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Moja kati ya ma rapa wakali sana wenye ushawishi na mafanikio zaidi nchni Marekani ambaye amewahi kuongoza mara mbili chati ya albamu za Billboard, Young Thug alikamatwa mwaka 2022 na amefungwa kwenye jela la Atlanta mji aliozaliwa kwa tuhuma za kujihusisha na magenge ya uhalifu na makosa mengine kadhaa ikiwepo ukwepaji wa kulipa kodi.

Ukiachana na tuhuma zinazomkabili Thugger bado mnyamwezi anaendeleza harakati zake za kibiashara na anaingiza mitonyo akiwa jela maana hadi sasahivi mnyamwezi amefanikiwa kuachia albamu yake ya tatu (Business is Business) akiwa gerezani na juzi tu katangaza ujio wa nguo zake mpya kwaajilio ya kuuza.

Msanii gani ungeendelea kumfuatilia na kununua kazi zake hata kama akiwa jela?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live