Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Young Lunya ajiita Mangwea wa kisasa

Young Lunya Ll.jpeg Young Lunya ajiita Mangwea wa kisasa

Thu, 10 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki Young Lunya kuelekea Novemba 11 siku ambayo ataachia Ngoma yake mpya ya Simu amesema ndio ataelewa ni kwa nini anajiita jina la Marehemu Albert Mangwea wa kisasa.

Young amefunguka jambo hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika ujumbe huo uliosomeka hivi:

"Mimi ndio Mangwea wa kisasa," alitamba Young.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live