Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Young Killer amemwandikia Wolper Dedication ?

WOLKILER Young Killer amemwandikia Wolper Dedication ?

Mon, 4 May 2020 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa HipHop Bongo Young Killer amesema muigizaji Jacqueline Wolper ni miongoni mwa watu waliompongeza kwa kazi yake mpya, A New Girlfriend Story.

Young Killer amekiri kuwa yeye na Wolper ni kweli walikuwa wapenzi na hawana tatizo hata kwasasa inapoonekana wameachana.

Hata hivyo Killer amesema kwasasa anajikita zaidi karibu na familia yake kwasababu ana mtoto hivyo anajikita zaidi kwenye malezi.

Jana ameachia ngoma mpya inayoitwa 'A New Girlfriend Story' ambayo imezua mijadala tofauti mitandao lakini yeye amefafanua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live