Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Young Guru: Sina tiketi show za Beyonce

Young Guru Young Guru na Jay Z

Thu, 2 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Saa chache toka malkia wa muziki Beyonce alipotangaza kuja na tour yake ya dunia aliyoipa jina la Renaissance world tour, lakini kwa moja ya producers noma na sound engeneer kutoka marekani YOUNG GURU yamekuwa masaa ya usumbufu

Young Guru ni Sound engeneer na Dj mkubwa sana ambae amefanya kazi nyinginna wasanii tofauti tofauti na kwa ukaribu wa ukubwa hadi sasa anafanya kazi na rapper JAYZ, Ypung Guru ameamu kushare akiweka wazi kuwa hana tiketi za tamasha la Beyonce kwani yeye anafanya kazi na Jay Z

“Sikia nafanya kazi na Jay Z, Sina tiketi za Beyonce” ameandika Young Guru

Chanzo: www.tanzaniaweb.live