Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Young Dee afunguka mpango wa kumsaini Young Killer

8625 Screen Shot 2018 06 04 At 13.50.23.png TZW

Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki wa hip hip, Young Dee amefunguka kuzungumzia post ambayo aliiweka mitandaoni inayohusiana na kutaka kumsaini rapa Young Killer Msodoki ambaye kwa sasa anafanya kazi chini ya label ya Wanene Entertainment.

Young Dee

Dee ambaye kwasasa anafanya kazi na label ya King Cash, kupitia instagram aliandika “Hahaha siku ya kwanza ofisini wakati nataka kumsign mdogo wangu #youngkillermsodokii 
Chanzo: bongo5.com