Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Young Dee: Simkubali Stamina Hata Kidogo

Young Dee Young Dee

Tue, 21 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Young Dee ameelezea hisia zake kwa rapa mwenzie Stamina, kwenye mahojiano na kipindi cha EMPIRE kupitia E-FM usiku huu, Young Dee amesema hamkubali Stamina na anadhani ndio chanzo cha kundi la 'Mtu Chee' kuvunjika.

Rapa Young Dee ameelezea hisia zake kwa rapa mwenzie Stamina, kwenye mahojiano na kipindi cha EMPIRE kupitia E-FM usiku huu, Young Dee amesema hamkubali Stamina na anadhani ndio chanzo cha kundi la 'Mtu Chee' kuvunjika. "Mimi Stamina simkubali, hatuongei na sio mshkaji wangu. Halafu nadhani ndio alikuwa sababu ya sisi Mtu Chee kuvunjika. Simkubali naapa kwa Mungu na kama kuna shabiki yangu anamkubali Stamina basi ni snitch." alisema Young Dee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live