Menu ›
Burudani
Tue, 25 Oct 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rapa Young D ameeleza kuwa, ameamua kufungua baa yake ndogo ili kuanza kujifunza namna ya kuendesha biashara hiyo pindi atakapoamua kuanzisha baa kubwa zaidi.
Amesema kwa sasa ameanzisha baa hiyo ambayo inamfanya aweze kusoma mchezo unakwendaje licha ya kukiri kwamba anapata changamoto kubwa ya kubalansi mambo yake.
“Ni kwa sababu ni mwanaume hivyo sina jinsi lazima nipambane. Lazima nifaiti kutafuta maisha maana mtoto naye ananitegemea mimi kama baba,” alisema Young.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live