Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

YouTube yafuta akaunti ya TB Joshua

YouTube Yafuta Akaunti Ya TB Joshua YouTube yafuta akaunti ya TB Joshua

Thu, 1 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Youtube imeiondoa Akaunti kuu ya Marehemu Nabii TB Joshua (Synagogue Church of All Nations), Haya yanajiri baada ya jukwaa la OpenDemocracy kubaini na kuripoti zaidi ya video 50 zinazoonyesha unyanyasaji dhidi ya washtaki wa Joshua.

Kampuni ya Youtube imeiondoa Akaunti kuu ya Marehemu Nabii TB Joshua (Synagogue Church of All Nations), Haya yanajiri baada ya jukwaa la OpenDemocracy kubaini na kuripoti zaidi ya video 50 zinazoonyesha unyanyasaji dhidi ya washtaki wa Joshua. Kumbuka Idhaa ya Dunia ya BBC kwa ushirikiano na #OpenDemocracy walifanya makala tatu ambapo wafichuaji waliokuwa wanachama waandamizi wa #SCOAN waliingia kwenye rekodi kwa madai ya kuteswa kingono na kisaikolojia, ulaghai wa kifedha, na uzembe wa uhalifu na #Joshua. . Video hizi, zilizorekodiwa awali na idara ya habari ya kanisa la Emmanuel TV, zilionyesha baadhi ya wanawake walioshiriki katika makala ya uchunguzi. . Kampuni ya #Youtube yenye sera ya kupinga na kupigana na Unyanyasaji wa Mitandaoni iliamua kuchukua uamuzi wa kufungia channel hiyo baada ya kuonekana imeenda kinyume na sera yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live