Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yammi aitamani kolabo na Zuchu

YAMMI NA ZUCHU Yammi aitamani kolabo na Zuchu

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yammi amesema anatamani kufanya kazi na wasanii wote ambao wamemtangulia akiwemo Zuchu.

Yammi ambaye ni zao la lebo ya Nandy, African Princess, amesema yeye kama msanii ana ndoto ya kushirikiana na wasanii wenzake.

"Wengi tu natamani kufanya nao kazi dada Nandy, Phina na Zuchu," alisema Yammi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live