Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yammi: Jimbo lipo wazi, nahitaji mtu mstaarabu

Yammi Tz Yammi: Jimbo lipo wazi, nahitaji mtu mstaarabu

Sun, 11 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Yammi amefunguka kuhusu hali yake ya mahusiano;

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Yammi amefunguka kuhusu hali yake ya mahusiano; “Nipo single sina hata mpenzi, napenda mwanaume mpole, mstaarabu anayejua kudekeza na yeyote atakayenipenda vizuri.” - Yammi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live