Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Wolper ni uaridi ukikaa nae utanukia” Engine alipoenda na Wolper Clouds

1602 Inked902929 LI 660x400

Sat, 20 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Muigizaji Jacqueline Wolper leo January 19, 2018 amemsindikiza Engine ambaye inasemekana ni mpenzi wake katika kipindi cha XXL ya Clouds FM ambapo tumezungumza na Engine ambaye amesema kuwa Jacqueline Wolper ni uaridi so lazima atanukia.

Wawili hao walikuwa kwenye kipindi cha XXL ya Clouds FM ambapo Engine alienda kutambulisha wimbo wake mpya na kusindikizwa na muigizaji Wolper lakini pamoja na kwamba wameonekana wote wakiwa wanaingia na kutoka lakini Wolper hakuwa tayari kulizungumzia suala hilo..

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza Engine akizungumza..



IRENE UWOYA “KINACHONIUMA MWANANGU AMEKOSA BABA, BABA YAKE ALIKUWA NA WATOTO WENGI.



 

 

Chanzo: millardayo.com