Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wolper naye aamua kuachana na pombe

Wolper Naye Aamua Kuachana Na Pombe Wolper naye aamua kuachana na pombe

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa maigizo na mitindo, Jacqueline Wolper amesema ameamua kuachana na unywaji wa pombe rasmi kwa kuwa haina faida kwake zaidi ya hasara.

Wolper amesema kuwa anapokunywa pombe hujikuta anaongea maneno yasiyofaa, ha ha ha…, hapa ngoja kwanza n’cheke, maana nimekumbuka maneno ya wahenga “pombe sio chai”

Katika tukio linalofanana na hili, mwezi Mei, 2023 Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu pia alitangaza kuachana na matumizi ya pombe.

Tuandikie tukio gani unalikumbuka kuhusu pombe linaloendana na msemo huo wa wahenga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live