Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wolper aonyesha mjengo wake

Wolperz Mns Jackline Wolper.

Wed, 27 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Movie, Jackline Wolper ameonyesha Mjengo wake wa Kifahari. 

Kupitia ukurasa wake wa Insgram, Wolper ameandika maneno haya; "Asante mwaka 2023 na kuwatakiwa watu sikukuu njema." Ameandika mrembo huku huku akiwa hajaweka wazi mjengo huo upo sehemu gani.

Kwenye clip hiyo Wolper ameonekana akiwa na watoto wake pamoja na mume wake Rich Mitindo

Unampa maksi ngapi Wolper na mume wake Rich Mitindo kwa mjengo huo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live