Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wolper anatarajia mtoto wa tatu

Wolper Sdsef Wolper anatarajia mtoto wa tatu

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji maarufu wa Bopngo Movies, Jackline Wolper amechapisha picha akiwa na ujauzito pamoja na kueleza kwamba anatamani kupata mtoto wa tatu hivyo anaomba shabiki zake wachague baba wa mtoto huyo.

Hali hii imefanya watu wengi waulizie hali ya uhusiano wake na Rich Mitindo maana hivi karibuni ilikuwa inasemekana ndoa yao imevunjika ingawa Wolper na Rich hawajawahi kujitokeza hadharani kukanusha wala kuunga mkono dai hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live