Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wolper amlipua Harmonize "Alikuwa hajui kuoga"

Harmonize Wolpers Wolper amlipua Harmonize

Tue, 19 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Wa Bongo Movie maarufu hapa Tanzania pia ni mfanyabiashara Jacqueline Wolper Massawe ambapo kupitia kwenye akaunti yake ameweka wazi kuhusiana na Harmonize kwamba kabla hajatoka kimziki yeye ndiye alimfundisha kuoga.

"Hivi Mnajua Harmonize Siku Hizi anajisikia Sana Kumbe alikuja Hapa Mjini Hata kuoga Hajui Mwendo na Kunuka Pumba Kama Mbuziiiii Sema Kuna Wadada wavumilivu Sana"

Ikumbukwe tuu Kipindi Harmonize anaanza kufanya kazi za mziki, mwanamke wake wa kwanza maarufu kutoka naye kimapenzi alikuwa ni Wolper ambaye inasemekana Diamond Platnumz ndiye alimtafutia Harmonize mwanadada huyo.

Wolper na Wolper waliingia kwenye mahusiano mwaka 2016 kabla ya kuja kuachana mwaka 2018 wakati tayari Harmonize akiwa staa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live