Menu ›
Burudani
Sat, 23 Dec 2017
Chanzo: bongo5.com
Msanii mkongwe wa filamu, Jacqueline Wolper amefunguka kwa kusema kuwa amegundua amepoteza muda wake mwingi kwa mambo yasio na msingi. Muigizaji huyo amesema siku chache zilizopita kuna shabiki yake alipigwa kisu kisa yeye.