Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wolper, Rich Mitindo wawasili kanisani kufunga ndoa yao leo

InShot 20221119 111722309 Wolper, Rich Mitindo watua kanisani kufunga ndoa

Sat, 19 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Movies, Jackline Massawe “Jackline Wolper” na mumewe mtarajiwa Rich Mitindo, tayari wameshaingia Kanisani Katoliki la St. Peter’s lililopo Oysterbay jijini Dar es salaam asubuhi hii ya leo Jumamosi, Novemba 19, 2022 kwa ajili ya Ibada ya ndoa yao inayotarajiwa kufungwa muda mfupi ujao.

Staa wa Bongo Movies, Jackline Massawe “Jackline Wolper” na mumewe mtarajiwa Rich Mitindo, tayari wameshaingia Kanisani Katoliki la St. Peter’s lililopo Oysterbay jijini Dar es salaam asubuhi hii ya leo Jumamosi, Novemba 19, 2022 kwa ajili ya Ibada ya ndoa yao inayotarajiwa kufungwa muda mfupi ujao. Wawili hao ambao wamekuwa kwenye uchumba kwa muda mrefu, tayari ni baba na mama wa watoto wawili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live