Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wolper, Rich Mitindo familia imeongezeka

Uwoya Katoto Wolper, Rich Mitindo familia imeongezeka

Sun, 28 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supstaa wa Bongo Movies, Jackline Worlper na mpenzi wake ambaye ni mfanyabiashara Rich Mitindo wameendelea kukuza familia yao.

Hii ni baada ya wawili hao kufanikiwa kupata mtoto wa pili ambapo Wolper amejifungua hivi karibuni mtoto wa kike.

Itakumbukwa, mapema mwanzoni mwa mwezi huu wa Agosti, Wolper na Mitindo walitangaza rasmi kwamba walikuwa wanatarajia mtoto wa pili katika familia yao.

Wawili hao tayari wameshatangaza tarehe ya ndoa yao ambayo itakuwa Novemba mwaka huu 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live