Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wolper: Kama huna kwako usinunue fenicha za gharama

Wolper Aonesha Mkoba Wa Mil. 16, Adai Ana Dalili Za Mimba Wolper: Kama huna kwako usinunue fenicha za gharama

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Jacqueline Wolper ametoa elimu ya bure kwa mashabiki wake, kwamba hakuna sababu ya kuharakia maisha pindi unapotafuta mafanikio.

Wolper amesema, yeye amejifunza kwenye hilo na hata sasa anajutia kununu baadhi vitu vya gharama kwa kufuata mkumbo.

"Kama bado unajitafuta hauna sababu ya kununua fenicha za gharama. Unatakiwa kuishi kulingana na kile ulichonacho, nunua fanicha za bei rahisi baadaye ukijipata sasa ndio unaweza kununua fenicha za gharama ukiwa kwako, utanunua gari uipendayo ukiwa kwako," alisema Wolper.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live