Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wizkid kutoa zaidi ya Tsh milioni 300 kwa watoto

Wizkid Gsh Wizkid kutoa zaidi ya Tsh milioni 300 kwa watoto

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka nchini nigeria @wizkidayo ameahidi kutoa naira millioni 100 sawa na Tsh milioni 311 kwa ajili ya sikukuu ya krismas.

Akiahidi kuanza mchakato huo leo huko Surulele jimbo alipozaliwa, amedai atafanya hivyo kwajina la marehemu mama yake kipenzi cha maisha yake.

Je, wewe kipindi hiki cha sikukuu umepanga kufanya nini??

Chanzo: www.tanzaniaweb.live