Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wizkid kupiga Show 20 ndani ya mwezi mmoja

Wizkid Ayo Wizkid

Wed, 16 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji kutoka Nigeria, Wizkid ametangaza ziara yake ya Muziki (More Love, Less Ego Tour) upande wa Marekani Kaskazini ambayo itaanza March 3 mjini Houston Texas na kumalizika April 7 mwaka 2023.

Ni takribani siku 35 ambazo zitashuhudia Wizkid akichapa maonesho hayo 20.

Tazama ratiba kamili ya show hizo za nguli huyo wa muziki kutoka Afrika;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live