Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wizkid kuachia dude tena na Justin Bieber

Jutin Biebers Wizkid kuachia dude tena na Justin Bieber

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki kutoka nchini Nigeria Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid amethibitisha kuwa na kolabo nyingi na Staa wa Muziki kutoka Canada, Justine Bieber ambazo tayari zipo store.

Mbali na hivyo amefunguka jinsi ilivyopatikana Essence Remix ambayo Bieber aliingiza mistari yake na kusema alivutiwa na ngoma hiyo ndio maana wakafanya Remix na kuna nyimbo nyingine zipo ndani hazijatoka.

Essence Remix kwa sasa bado inakimbiza huko YuTube kwani ndani ya miaka miwili tangu itoke imekusanya watazamaji (views) zaidi ya milioni 35.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live