Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wizkid juu ya stage moja na Beyonce, Cardi B

1047 Screen Shot 2018 01 03 At 7.16.02 PM 634x400.png TZW

Thu, 4 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Staa wa muziki kutokea Nigeria Wizkid “Starboy” nyota yake inazidi kung’aa baada ya kuchaguliwa kuwa msanii pekee kutokea Afrika kufanya show ya Coachella Valley Music & Arts Festival itakayofanyika Empire Polo Club Indio, California na kufanyika April 14 & 21, 2018.

Coachella Valley Music & Arts Festival ni tamasha linaloingiza hela nyingi nchini Marekani na linafahamika dunia nzima na linarekodi ya kuhudhuriwa na watu wengi.

Mastaa maarufu kutokea Marekani watashiriki katika tamasha hilo akiwemo The Weekend, Beyonce, Eminem, Cardi B, Jidenna, Migos na wengine wengi.

VideoFUPI: Davido na Wizkid bifu hawa hapa kwenye stage kwa pamoja

Chanzo: millardayo.com