Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wizkid aukataa muziki wa Afrobeat

Wizkid Afanya Balaa Amsterdam, Ajaza Ukumbi Wa ZIGGO Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameukataa muziki wa Afrobeat kwa kudai kuwa yeye siyo msanii wa Afrobeat huku akipiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini humo kuposti album yake.

Wizkid kupitia instastory yake ame-share ujumbe akieleza kuwa album yake mpya tayari imekamilika na itatoka hivi karibuni, lakini hataki mashabiki wamuite msanii wa Afrobeat huku akitilia mkazo kuwa hataki album yake hiyo kupostiwa na media pamoja na blog za Nigeria.

Muziki wa Afrobeat au kwa jina lingine ‘Afrofunk’ ni aina ya muziki wa Kinaigeria ambao unahusisha mchanganyiko wa mitindo ya muziki wa kitamaduni wa Kiyoruba na Igbo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live