Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wimbo wa Starehe wamzushia UKIMWI Ferooz

Ferooz (16).jpeg Ferooz

Sun, 3 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Disemba 1 ni siku ya UKIMWI duniani, msanii Ferooz aliwahi kutoa wimbo wake wa Starehe ambao unazungumzia alivyopata Ugonjwa huo.

Hapa anafunguka anayokutana nayo baada ya kuachia wimbo ule

"Kuna mazingira nilikutana nayo na bado nakutana nayo mpaka le. Unaweza ukakutana na mtu akashtuka na kukwambia wewe si ulishafariki kwa sababu aliona kwenye video, mwingine anakupa pole au kukunyanyapaa anajua kama umeathirika".

"Wapo wanaoamini kwamba nimeathirika na kupata HIV. Wakati mwingine unaweza ukapungua kutokana na sababu za maisha lakini watu wakikuona wanajua ndio tayari kwa kuzingatia niliimba ule wimbo," amesema Ferooz 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live