Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wimbo wa Diamond wa Rihanna watimua vumbi....

Rihanna Twitter Wimbo wa Diamond wa Rihanna watimua vumbi....

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wimbo wa Rihanna 'Diamond' umefikisha hadhi ya 'Diamond'.Kwa mujibu wa RIAA wimbo huo uliotoka mwaka 2012 umefikisha mauzo ya nakala Milioni 10 na kuufanya kuifikia hadhi madini haya ya gharama zaidi duniani ya Diamond.

Wimbo wa Rihanna 'Diamond' umefikisha hadhi ya 'Diamond'.Kwa mujibu wa RIAA wimbo huo uliotoka mwaka 2012 umefikisha mauzo ya nakala Milioni 10 na kuufanya kuifikia hadhi madini haya ya gharama zaidi duniani ya Diamond. Kumbuka Rihanna anaendelea kuweka rekodi hizi tofauti tofauti huku Ikiwa imepita miaka 8 bila kuachia Album na ikiwa ndio kiu kubwa ya mashabiki zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live