Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wimbo wa Baridi wa Jay Melody watumiwa na Miss World

Msanii Wa Bongo Flava Jay Melody Ametangaza Kuacha Muziki!.png Wimbo wa Baridi wa Jay Melody watumiwa na Miss World

Thu, 22 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wimbo wa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini , Jay Melody wa ‘Baridi’ umeonekana kutumiwa na ukurasa wa Miss World wakati warembo wenye asili ya Kiafrika wakishuka kwenye gari.

Katika mashindano hayo Tanzania inawakilishwa na mshindi wa taji la Miss Tanzania 2022 Halima Kopwe, ambapo fainali zikitarajiwa kufanyika Machi 9 mwaka huu.

Wimbo huo wa ‘Baridi’ kupitia mtandao wa #Youtube mpaka kufikai sasa unazaidi ya waskilizaji milioni 2, ukiwa na mwezi mmoja tuu tangu kuachiwa kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live