Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wimbo wa Bangi wa Harmonize waibua mjadala

Harmonize Bangi Wimbo wa Bangi wa Harmonize waibua mjadala

Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Prezidaa wa Konde Gang, Rajabu Abdul 'Harmonize' ameachia wimbo unaokwenda kwa jina la Weed Language akimaanisha Bangi kwa lugha yenu.

Wimbo huo una takriban siku tano tangu aupakie kwenye YouTube Channel yake pomoja na platform zake nyingine.

Mijadala mbalimbali imeibuka kwenye mitandao watu kuhoji kulikoni aisifie bangi ili hali hairuhusiwi katika nchi yetu?

Wengine wamejaribu kuiuliza Basata kwa nini haimchukulii hatua msanii huyo lakini hata hivyo, mpaka sasa hamna tamko lolote kutoka kwao!

Kwenye ngoma hiyo, Harmonize amemshirikisha msanii kutoka Jamaica, Konshens.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live