Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Willy Paul awatolea Povu Mashabiki

Willy Paul Aorodhesha Wasanii Wa Bongo Anaowatambua Zaidi.png Willy Paul

Wed, 20 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul amewatolea uvivu mashabiki nchini humo akidai kuwa ‘hawasapoti’ wasanii wao.

Ameyasema hayo baada ya mashabiki kutaka aache ku-post challenge ya wimbo wake wa ‘I DO’ aliofanya na msanii kutoka nchini Jamaica, #Alainesinga uliotoka miaka sita iliyopita

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanamuziki huyo ameandika kuwa yeye ana-post kwa ajili ya Dunia nzima na siyo kwa Kenya peke yao hivyo hawezi kuacha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live