Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Will Smith acheza na akili za wambea

Will Smith Will Smith

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya maneno yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na maisha Will Smith na mkewe Jada, huku wengi wakisubiri tamko kutoka kwa Will sasa muigizaji huyo aamua kucheza na akili za wambea wanaotaka kujua maisha yake ya ndoa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Smith ame-share video ikimuonesha akitaka kuzungumzia jambo lakini baada ya kuzungumza akakupiga chafya.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live