Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Will Smith, Michael Jordan kuja na muendelezo wa "I am Legend 2"

Will Smith Michael B Jordan 021623 56289276712c48b9aa133aea4112ec42 Will Smith, Michael Jordan kuja na muendelezo wa "I am Legend 2"

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith ameweka wazi kuwa yeye na mwigizaji mwenziye Michael B. Jordan wanampango wa kutoa muendelezo wa filamu ya ‘I Am Legend 2’.

#Smith ameyasema hayo wakati alipokuwa kwenye mahojiano na ‘Entertainment Tonight’ ambapo alieleza kuwa yeye na Jordan walikutana wiki kadhaa zilizopita na kila mmoja alikuwa na mawazo madhubuti kuhusu muendelezo wa filamu hiyo, hivyo basi anaamini filamu hiyo itakuwa ya kuvutia sana.

Ikumbukwe kuwa filamu ya asili ya ‘I Am Legend 2’ ilitokana na riwaya ya Richard Matheson (1954), ambapo Smith aliigiza kama mwanasayansi Robert Neville, mwathirika pekee katika ulimwengu aliyedhuriwa na viumbe wa ajabu (#zombie).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live