Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Whozu hataki kuulizwa kabisa kuhusu Tunda

TUNDA NA WHOZU Whozu hataki kuulizwa kabisa kuhusu Tunda

Fri, 21 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kidizaini Whozu hataki kabisa kusikia habari za mzazi mwenzake Tunda na kupitia The Switch amepiga marufuku Media yoyote kumuuliza kuhusu Mrembo huyo.

Whozu ameonesha kutotaka masihara kabisa kwenye ombi lake hilo na ametuma ujumbe Kwa media zote atakazofanya mahojiano.

Kabla ya kutoa agizo hilo, Whozu alibanwa kinagaubaga kuhusu uhusiano wake na Tunda hasa ukizingatia wana mtoto.

"Taarifa kuhusu mwanangu naweza kupewa na dada na kama ni kuhusu shule napewa na mwalimu, sio lazima niongee na mama," alisema Whozu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live