Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Whozu: Wema alishika ujauzito wangu

Wema Whozu Nmb.jpeg Wema na Whozu

Sun, 8 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Whozu amekiri kuwa mpenzi wake, Wema Sepetu qlishika ujauzito wake lakini bahati mbaya mimba hiyo ilitoka.

"Ni kweli Chimama (Wema Sepetu) alibeba ujauzito wangu lakini haikuwa bahati ukatoka kutokana na sababu nilizozisema hapo awali kwamba kulitokea ugomvi wa kimapenzi kati yetu ambao ulisababisha ujauzito kutoka, ila nina imani atapata ujauzito mwingine maana yajayo yanafurahisha ukizingatia huu mwaka lazima nimuoe.

"Kuwa kwenye mahusiano na Wema Sepetu kumeniongezea mashabiki wengi wa kike, kumenipa faraja na nanenepa kila siku nyie wenyewe mnaona, hii inatokana na kwamba Chimama ni mpishi mzuri na anajali sana," amesema Whozu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live